Msaada wa kisheria

Msaada wa kisheria

Rivamba J

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2013
Posts
385
Reaction score
170
Kutokana na kuwepo kwa makundi ya vijana wasio na maadili hasa vibaka katika mitaa yetu, nafikiria kuanza kutembea na silaha aina ya KISU (special) popote pale kwa ajili ya kujilinda. Naomba kujua kutoka kwa wajuzi wa sheria kama hili jambo ni halali kisheria au kuna utaratibu wa kufuata?
References za vifungu tafadhali.
 
Tahadhar hicho kisu kinaweza kutumika kukudhuru ww mwenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kutokana na kuwepo kwa makundi ya vijana wasio na maadili hasa vibaka katika mitaa yetu, nafikiria kuanza kutembea na silaha aina ya KISU (special) popote pale kwa ajili ya kujilinda. Naomba kujua kutoka kwa wajuzi wa sheria kama hili jambo ni halali kisheria au kuna utaratibu wa kufuata?
References za vifungu tafadhali.
Jifunze kwanza self defence, hicho kisu kinaweza kutumika kukudhuru wewe mwenyewe. Watembelee Tanganyika Arm utapata machaguo kibao tu ya visu.
 
Back
Top Bottom