Kutokana na kuwepo kwa makundi ya vijana wasio na maadili hasa vibaka katika mitaa yetu, nafikiria kuanza kutembea na silaha aina ya KISU (special) popote pale kwa ajili ya kujilinda. Naomba kujua kutoka kwa wajuzi wa sheria kama hili jambo ni halali kisheria au kuna utaratibu wa kufuata?
References za vifungu tafadhali.
References za vifungu tafadhali.