Tahadhar hicho kisu kinaweza kutumika kukudhuru ww mwenyeweKutokana na kuwepo kwa makundi ya vijana wasio na maadili hasa vibaka katika mitaa yetu, nafikiria kuanza kutembea na silaha aina ya KISU (special) popote pale kwa ajili ya kujilinda. Naomba kujua kutoka kwa wajuzi wa sheria kama hili jambo ni halali kisheria au kuna utaratibu wa kufuata?
References za vifungu tafadhali.
Jifunze kwanza self defence, hicho kisu kinaweza kutumika kukudhuru wewe mwenyewe. Watembelee Tanganyika Arm utapata machaguo kibao tu ya visu.Kutokana na kuwepo kwa makundi ya vijana wasio na maadili hasa vibaka katika mitaa yetu, nafikiria kuanza kutembea na silaha aina ya KISU (special) popote pale kwa ajili ya kujilinda. Naomba kujua kutoka kwa wajuzi wa sheria kama hili jambo ni halali kisheria au kuna utaratibu wa kufuata?
References za vifungu tafadhali.