Msaada wa kisheria

msn love

Member
Joined
Dec 18, 2017
Posts
14
Reaction score
42
Wapendwa naomba msaada wa tafsiri ya utofauti wa sheria hizi mbili za hukumu
1:kunyongwa
2;kunyongwa hadi kufa.
 
Hukumu ni kunyongwa mpaka kufa hakuna hukumu ya kunyongwa tu.Lengo ni kutekeleza kule kunyongwa kwako mpaka ufe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…