msn love Member Joined Dec 18, 2017 Posts 14 Reaction score 42 May 23, 2019 #1 Wapendwa naomba msaada wa tafsiri ya utofauti wa sheria hizi mbili za hukumu 1:kunyongwa 2;kunyongwa hadi kufa.
Wapendwa naomba msaada wa tafsiri ya utofauti wa sheria hizi mbili za hukumu 1:kunyongwa 2;kunyongwa hadi kufa.
mpimamstaafu JF-Expert Member Joined Jul 18, 2018 Posts 4,445 Reaction score 4,707 Jun 4, 2019 #2 Hukumu ni kunyongwa mpaka kufa hakuna hukumu ya kunyongwa tu.Lengo ni kutekeleza kule kunyongwa kwako mpaka ufe.
Hukumu ni kunyongwa mpaka kufa hakuna hukumu ya kunyongwa tu.Lengo ni kutekeleza kule kunyongwa kwako mpaka ufe.