Msaada wa kisheria

Msaada wa kisheria

malija

Member
Joined
Apr 30, 2014
Posts
16
Reaction score
15
Kampuni kuuzwa huku ukiwa kama mfanyakazi mwenye mkataba na muajiri wa zamani huku muajiri mpya akikutaka usaini mkataba mpya uendelee na ajira,je, kuna malipo yoyote unayotakiwa kulipwa?
 
Mkataba wako unasemaje endapo kampuni ikiuzwa kabla haujaisha?
 
Kampuni kuuzwa huku ukiwa kama mfanyakazi mwenye mkataba na muajiri wa zamani huku muajiri mpya akikutaka usaini mkataba mpya uendelee na ajira,je, kuna malipo yoyote unayotakiwa kulipwa?
Tuwekee mikataba yote miwili, wa kampuni ya awali na hiyo nyingine.......!

ILA UKIONA UNA NYANYASIKA, FUNGUA KAMPUNI YAKO NA WEWE, UONE KAMA NI VYEMA UKIGILISIKA, NA UKALAZIMIKA KUI UZA KAMPUNI, na wakati huo uwalipe wa fanya kazi.......!

Hapo utaomba BUSARA ZA MAHAKAMA.
 
Back
Top Bottom