Ifururu
JF-Expert Member
- Dec 28, 2017
- 562
- 658
Habari za asubuhi wana Jamii forum wenzangu.nahitaji msaada wenu maana kuna mambo nahitaji kuyaweka sawa kwa jirani yangu .
Jirani yangu ameachana na mme wake lakini mme hataki kutoa talaka ,yapata mwaka na nusu sasa.Hivyo anaomba kujua kama ataweza kupata talaka kwa amri ya mahakama ili tuu aolewe na mtu mwingine maana ameshampata
Sasa afuate taratibu zipi ili aweze kupata talaka yake kwa kupitia msaada wa sheria.