heavyload JF-Expert Member Joined Jan 22, 2017 Posts 920 Reaction score 526 Oct 2, 2019 #1 He ni sawa polisi kukuita kituoni huku ukiwa umeshawaambia kesi iliyofunguliwa waipeleke mahakamani? Je unaweza kwenda mahakamani kwanza kuomba utaratibu, Naomba ufafanuzi kwenye kwa yeyote mwenye uelewa
He ni sawa polisi kukuita kituoni huku ukiwa umeshawaambia kesi iliyofunguliwa waipeleke mahakamani? Je unaweza kwenda mahakamani kwanza kuomba utaratibu, Naomba ufafanuzi kwenye kwa yeyote mwenye uelewa
B BEHOLD JF-Expert Member Joined Nov 17, 2013 Posts 5,056 Reaction score 10,721 Oct 2, 2019 #2 Nenda kama umeitwa ukiwa na mwanasheria wako. Usipoenda watakuja kukusaidia kwenda!