Msaada wa kisheria

Msaada wa kisheria

heavyload

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2017
Posts
920
Reaction score
526
He ni sawa polisi kukuita kituoni huku ukiwa umeshawaambia kesi iliyofunguliwa waipeleke mahakamani?

Je unaweza kwenda mahakamani kwanza kuomba utaratibu,

Naomba ufafanuzi kwenye kwa yeyote mwenye uelewa
 
Nenda kama umeitwa ukiwa na mwanasheria wako.
Usipoenda watakuja kukusaidia kwenda!
 
Back
Top Bottom