Msaada wa kisheria

Twalangete

Member
Joined
Nov 29, 2019
Posts
9
Reaction score
3
Mimi ni mfanyakazi wakati naajiriwa taarifa zangu nilijaza kwa usahihi katika mkataba wangu wa Ajira na stahiki zangu Kama likizo nilikuwa nalipwa kulingana na taarifa zilizopo katika mkataba wangu lakini baada ya miaka mitano mbele nililetewa document ambayo inaitwa "personal record form" wakati naijaza sikuwa na uelewa kuhusiana nahiyo document Kuna baadhi ya taarifa nilijaza kimakosa Kama "place of domicile" Sasa baadae nikaona mabadiliko mkataba niliandika IRINGA mule nikawa nimekosea nimeandika DAR ES SALAAM Sasa nimemwandikia barua HR wangu yeye anasema siwezi kubadilisha na nitaendelea kulipwa hivyohivyo. Naomba msaada wakisheria ili niwezekulipwa stahiki zangu Kama awali .Asante
 
1- Je, mkataba wako wa awali ulio andika (iringa) unayo nakala na ulikuwa wa miaka mingapi?
2- Je, hiyo document uliyopewa na ukajaza (Dar) haikuwa na maelekezo yeyote zaidi ya personal details?
3- Je, kabla ya kujaza hiyo form mpya, kuna taarifa zozote ulipewa za mabadiliko ya personal details ama contract?
 
Mzee baba unataka nauli ya likizo iwe ndefu[emoji846][emoji846]
 
Mkataba nimmoja ila hiyo document inaonekana haikwepo kwani nilikuwa nikilipwa nauli ya Iringa kwakipindi chote cha nyuma baada ya kuona mbona silipwi nauli baada ya kufatilia ndonikagundua Hilo tatizo nimejitahidi kumwelewesha HR anasimamia msimamo wake naona Kuna madhaifu yake anayaficha Sasa ndomana nataka niangalie Sheria inasemaje ili niweze kupata haki yangu
 
Nahitaji mwongozo ili niandike barua ambayo itanisaidia kupata haki yangu wadau
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…