Twalangete
Member
- Nov 29, 2019
- 9
- 3
Mimi ni mfanyakazi wakati naajiriwa taarifa zangu nilijaza kwa usahihi katika mkataba wangu wa Ajira na stahiki zangu Kama likizo nilikuwa nalipwa kulingana na taarifa zilizopo katika mkataba wangu lakini baada ya miaka mitano mbele nililetewa document ambayo inaitwa "personal record form" wakati naijaza sikuwa na uelewa kuhusiana nahiyo document Kuna baadhi ya taarifa nilijaza kimakosa Kama "place of domicile" Sasa baadae nikaona mabadiliko mkataba niliandika IRINGA mule nikawa nimekosea nimeandika DAR ES SALAAM Sasa nimemwandikia barua HR wangu yeye anasema siwezi kubadilisha na nitaendelea kulipwa hivyohivyo. Naomba msaada wakisheria ili niwezekulipwa stahiki zangu Kama awali .Asante