Msaada wa kisheria

Msaada wa kisheria

french

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2017
Posts
3,572
Reaction score
3,726
kuna kampuni ilidhanini kusoma kwa makubaliano kuwa nikimaliza kusoma watanirudishia gharama zote- mkataba upo.baada yakumaliza wameomba recepts ili warudishe.

Nimetuma recepts za ada niliolipa lakini recepts za matumizi yangu kama hostel, stationery, meal, transport etc sina wamegoma kulipa na hizi ndio ela nyingi kuliko ada- kwa mujibu wa fees,structure. Je nikienda nahakamani nitashinda.
 
Sijaelewa kitu.. Yani kampuni ikuombe ujisomeshe? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Alafu elimu utakayopata wanufaike nayooo...
 
Sijaelewa kitu.. Yani kampuni ikuombe ujisomeshe???? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Alafu elimu utakayopata wanufaike nayooo...
hujaelewa nini hapo. ndio ipo hivyo usikariri na kuingiza fikra zako. mkatataba upo nijilipie ada nikipeleka cheti tu hela yote narudishiwa na nimeshapeleka na tayari wanenilipa tuition fees bado hela ambayo nilitumia mimi kwenye kusoma wanadai receipts. watu wanaofanya kazi kwa wahindi hawawezi elewa hii.
 
Peleka risiti bhasii...!! Otherwise ni wiziii...

risiti za hii kitu sina, imagine photocopy, printing, transport kama daladala, kula, staionery kwa miaka miwili nazipataje? alafu zitakuwa nyingi sana.
 
Estimate based on market price na uhalisia then tafuta risiti, sasa supporting document watakayotumia kukulipa ni ipi? Vipi ikija audit watasema hela walipeleka wapi? Wafanyie wepesi wakupe chako!
 
Lazima upeleke risiti kama ulikaa hostel peleka mkataba wa pango kqma ulitoa copy lazima upewe risiti kampuni inayoendeshwa kiuweledi haitoi malipo kiholela
 
sawa mkuu ngoja nitafute recepts. ila zitakuwa za kutosha sana
 
Lazima upeleke risiti kama ulikaa hostel peleka mkataba wa pango kqma ulitoa copy lazima upewe risiti kampuni inayoendeshwa kiuweledi haitoi malipo kiholela
copy nimetoa nyingi sana imagine pamphlet na hata zile za page moja mpka mbili
 
Ndugu yangu ngoja nkupe elimu kidogo... wanapodai receipts ili waweze kukulipa ni kwamba wanaweka accounts zao sawa ili ziweze kubalance... kila pesa inayotoka kwenye kampuni lazima itolewe maelezo imetokaje... kwahiyo mhasibu au mtu wa fedha (Finance manager) lazima ajiridhishe anasign hiyo pesa itoke kwa supporting documents zipi...? hata maauditors wakija kwa ukaguzi anakuwa onsafe side... vile vile ni kwaajili ya internal control... wakija watu kama wewe 20 bila receipt na wote wanataka kurudishiwa pesa zao unafikiri inakuwaje bro...
 
Hizo gharama unazodai ni stipend, huwa hazina receipt. Peleka joining instructions au fee structure kuna sehemu inaonyesha pesa ambazo direct anapewa mwananfunzi. Kama ulisoma ndani ya nchi mara nyingi huwa 10k per day na kama ni nje ya nchi ni $800 per month. Pia hizo stationary na research huwa zimeandikwa kwenye hizo documents.
 
copy nimetoa nyingi sana imagine pamphlet na hata zile za page moja mpka mbili
Kawaida kampuni inapotengeneza mahesabu lazima ionyeshe mapato na matumizi, matumizi yote lazima yaambane na viambatanisho.
Mahesabu yanapelekwa Brella na TRA pia kampuni inatakiwa ilipe corporate tax ambayo nin asilimia 30 ya faida ndio maana wanataka risiti sio kwa nia mbaya.
 
Mkuu ahsante sana, maana sisi tulisoma introductory in accounting... tukapata ile idea, nakumbuka jamaa alikuwa akiingia neno lake kubwa lilikuwa (Every debit entry should have corresponding Credit entry) alafu anaanza kukata nondo... akimaliza hapo wakati anafunga lecture lazima aandike Asset=capital + owners equity... walioendelea na Accounting nadhani niwahasibu wazuri sana ila ile introductory nlisoma miaka 15 iliyopita inasaidia sana kuwa na mwanga wa mambo kama haya...
 
Kawaida kampuni inapotengeneza mahesabu lazima ionyeshe mapato na matumizi, matumizi yote lazima yaambane na viambatanisho.
Mahesabu yanapelekwa Brella na TRA pia kampuni inatakiwa ilipe corporate tax ambayo nin asilimia 30 ya faida ndio maana wanataka risiti sio kwa nia mbaya.
ile joining instruction ambayp ina fee structure haitoshi? tiketi za daladala za miaka miwili au mitatu naziwekaje?
 
Risiti ni uthibitisho wa malipo, ndio maana waliitaka hizo risiti ili kuthibitisha na kulipa. Hiyo ni supporting documents kwa kanuni za kihasibu.
Vinginevyo wangeshakulipa toka zamani hata kabla ya kutoa hizo risiti.

HATA HIVYO, wording ya mkataba wenu inamata sana katika mvutano kama huu. Nenda kwa mwanasheria na huo mkataba muusome parameters zake kisha atakushauri vizuri.
 
Pole sana...
Hapo bila receipt ni kazi bure wao kukurejeshea gharama zako...

Cc: mahondaw
 
ukienda kudai fidia kuna aina mbili za fidia
1.fidia unayoweza kuithibitisha(specific damages)
2.Fidia usiyoweza kuithibitisha (general damages)
Specific damages ni kama tuition fees ambayo una ushaidi wake hiyo ukienda mahakaman unapewa bila chenga...
General damages hii kwa sababu hauna uthibitisho ila unahitaji ulipwe utaenda mahakaman kuidai na mahakama ndo itaamua ulipwe kiasi gani.... baada ya estimation
 
sawa mkuu. tuition fees tayari washalipa ila hii nyingine ya matumizi ndio wanazingua. sasa joining instruction imeonyesha kile ninachotakiwa kulipa chuo-tuition fees na kile ambacho mimeia inatwa direct payable to student
 
fwata hatua za kudai haki yako
 
Back
Top Bottom