hujaelewa nini hapo. ndio ipo hivyo usikariri na kuingiza fikra zako. mkatataba upo nijilipie ada nikipeleka cheti tu hela yote narudishiwa na nimeshapeleka na tayari wanenilipa tuition fees bado hela ambayo nilitumia mimi kwenye kusoma wanadai receipts. watu wanaofanya kazi kwa wahindi hawawezi elewa hii.Sijaelewa kitu.. Yani kampuni ikuombe ujisomeshe???? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Alafu elimu utakayopata wanufaike nayooo...
hujaelewa nini hapo. ndio ipo hivyo usikariri na kuingiza fikra zako. mkatataba upo nijilipie ada nikipeleka cheti tu hela yote narudishiwa na nimeshapeleka na tayari wanenilipa tuition fees bado hela ambayo nilitumia mimi kwenye kusoma wanadai receipts. watu wanaofanya kazi kwa wahindi hawawezi elewa hii.
risiti za hii kitu sina, imagine photocopy, printing, transport kama daladala, kula, staionery kwa miaka miwili nazipataje? alafu zitakuwa nyingi sana.Peleka risiti bhasii...!! Otherwise ni wiziii...
risiti za hii kitu sina, imagine photocopy, printing, transport kama daladala, kula, staionery kwa miaka miwili nazipataje? alafu zitakuwa nyingi sana.
sawa mkuu ngoja nitafute recepts. ila zitakuwa za kutosha sanaEstimate based on market price na uhalisia then tafuta risiti, sasa supporting document watakayotumia kukulipa ni ipi? Vipi ikija audit watasema hela walipeleka wapi? Wafanyie wepesi wakupe chako!
copy nimetoa nyingi sana imagine pamphlet na hata zile za page moja mpka mbiliLazima upeleke risiti kama ulikaa hostel peleka mkataba wa pango kqma ulitoa copy lazima upewe risiti kampuni inayoendeshwa kiuweledi haitoi malipo kiholela
Kawaida kampuni inapotengeneza mahesabu lazima ionyeshe mapato na matumizi, matumizi yote lazima yaambane na viambatanisho.copy nimetoa nyingi sana imagine pamphlet na hata zile za page moja mpka mbili
Mkuu ahsante sana, maana sisi tulisoma introductory in accounting... tukapata ile idea, nakumbuka jamaa alikuwa akiingia neno lake kubwa lilikuwa (Every debit entry should have corresponding Credit entry) alafu anaanza kukata nondo... akimaliza hapo wakati anafunga lecture lazima aandike Asset=capital + owners equity... walioendelea na Accounting nadhani niwahasibu wazuri sana ila ile introductory nlisoma miaka 15 iliyopita inasaidia sana kuwa na mwanga wa mambo kama haya...Kawaida kampuni inapotengeneza mahesabu lazima ionyeshe mapato na matumizi, matumizi yote lazima yaambane na viambatanisho.
Mahesabu yanapelekwa Brella na TRA pia kampuni inatakiwa ilipe corporate tax ambayo nin asilimia 30 ya faida ndio maana wanataka risiti sio kwa nia mbaya.
ile joining instruction ambayp ina fee structure haitoshi? tiketi za daladala za miaka miwili au mitatu naziwekaje?Kawaida kampuni inapotengeneza mahesabu lazima ionyeshe mapato na matumizi, matumizi yote lazima yaambane na viambatanisho.
Mahesabu yanapelekwa Brella na TRA pia kampuni inatakiwa ilipe corporate tax ambayo nin asilimia 30 ya faida ndio maana wanataka risiti sio kwa nia mbaya.
sawa mkuu. tuition fees tayari washalipa ila hii nyingine ya matumizi ndio wanazingua. sasa joining instruction imeonyesha kile ninachotakiwa kulipa chuo-tuition fees na kile ambacho mimeia inatwa direct payable to studentukienda kudai fidia kuna aina mbili za fidia
1.fidia unayoweza kuithibitisha(specific damages)
2.Fidia usiyoweza kuithibitisha (general damages)
Specific damages ni kama tuition fees ambayo una ushaidi wake hiyo ukienda mahakaman unapewa bila chenga...
General damages hii kwa sababu hauna uthibitisho ila unahitaji ulipwe utaenda mahakaman kuidai na mahakama ndo itaamua ulipwe kiasi gani.... baada ya estimation
fwata hatua za kudai haki yakosawa mkuu. tuition fees tayari washalipa ila hii nyingine ya matumizi ndio wanazingua. sasa joining instruction imeonyesha kile ninachotakiwa kulipa chuo-tuition fees na kile ambacho mimeia inatwa direct payable to student
inabidi nitafute risiti mkuu. naona hii ndio njia pekee iliobakiafwata hatua za kudai haki yako