natakiwa nikashtaki kama jamaa hawataki kuonana na miminilimpeleka mtu mahakamani kwa kesi ya madai. mahakama ikatushauri tukaongee/tukayamalize, tukakubali. Hakimu akatupa ducument tuka sign kuashria tukayamalize. Cha ajabu hakimu hakutumbia chochote kama turudi tena mahakamani au la. sasa zimepita wiki kadhaa mdaiwa anarusha rusha, ni kama hataki tuonane na hatujaonana bado. sasa hapa wakuu nafanyaje. naruhusiwa kurudi tena mahakamani? na kama naruhusiwa je kuna barua/document yoyote natakiwa nipeleke kukomplain hii issue. Naombeni msaada wa kisheria
Hapo hakimu alitumia njia inaitwa ADR(alternative Dispute Resolution) ambayo mnatakiwa kusolve nyinyi wenywe kabla ya kuendelea na taratibu nyingine za kimahakama na hii wanafanya ili kupunguza wingi wa kesi mahakamani pale wanapoona kesi inaweza kuwa solved bila litigations za mahakamani .nyie mlipewa muda wa kufanya kitu kinaitwa mediation na kama hiyo mediation imeshindikana mnaweza mkaendelea na taratibu nyingine za kimahakama kufungua kesi kama kawaida .nilimpeleka mtu mahakamani kwa kesi ya madai. mahakama ikatushauri tukaongee/tukayamalize, tukakubali. Hakimu akatupa ducument tuka sign kuashria tukayamalize. Cha ajabu hakimu hakutumbia chochote kama turudi tena mahakamani au la. sasa zimepita wiki kadhaa mdaiwa anarusha rusha, ni kama hataki tuonane na hatujaonana bado. sasa hapa wakuu nafanyaje. naruhusiwa kurudi tena mahakamani? na kama naruhusiwa je kuna barua/document yoyote natakiwa nipeleke kukomplain hii issue. Naombeni msaada wa kisheria
yes mkuu. ila sasa huyu mdaiwa ameshindwa kutoa ushirikiano wakati alikubali na ku sign kama yupo tayari kwa mediation. nimesikia kuwa baadae alirudi mahakamani na kuomba apewe proceeding. swali ni je labda anasubiri kwanza apate proceeding ndio aendelee na mazungumzo, je ana maana gani kuomba proceeding?Hapo hakimu alitumia njia inaitwa ADR(alternative Dispute Resolution) ambayo mnatakiwa kusolve nyinyi wenywe kabla ya kuendelea na taratibu nyingine za kimahakama na hii wanafanya ili kupunguza wingi wa kesi mahakamani pale wanapoona kesi inaweza kuwa solved bila litigations za mahakamani .nyie mlipewa muda wa kufanya kitu kinaitwa mediation na kama hiyo mediation imeshindikana mnaweza mkaendelea na taratibu nyingine za kimahakama kufungua kesi kama kawaida .
yes mkuu. ila sasa huyu mdaiwa ameshindwa kutoa ushirikiano wakati alikubali na ku sign kama yupo tayari kwa mediation. nimesikia kuwa baadae alirudi mahakamani na kuomba apewe proceeding. swali ni je labda anasubiri kwanza apate proceeding ndio aendelee na mazungumzo, je ana maana gani kuomba proceeding?