nilimpeleka mtu mahakamani kwa kesi ya madai. mahakama ikatushauri tukaongee/tukayamalize, tukakubali. Hakimu akatupa ducument tuka sign kuashria tukayamalize. Cha ajabu hakimu hakutumbia chochote kama turudi tena mahakamani au la. sasa zimepita wiki kadhaa mdaiwa anarusha rusha, ni kama hataki tuonane na hatujaonana bado. sasa hapa wakuu nafanyaje. naruhusiwa kurudi tena mahakamani? na kama naruhusiwa je kuna barua/document yoyote natakiwa nipeleke kukomplain hii issue. Naombeni msaada wa kisheria