assassin eagle
Senior Member
- Apr 23, 2022
- 113
- 451
Ndio tuliandikishiana office ya KijijiWakati unauziana na huyo mzee kulikuwa na mashuhuda vp ulishirikisha viongozi wa kijiji
Sasa muombe mwenyekiti akupe barua ya utambulisho kuwa anakufahamu ww ni mmiliki Halali WA Hilo eneo then uende ofisi ya ardhi wakupatie hatimiliki ya kimila chapu
Nimuombe mwenyekiti au mtendaji ?Sasa muombe mwenyekiti akupe barua ya utambulisho kuwa anakufahamu ww ni mmiliki Halali WA Hilo eneo then uende ofisi ya ardhi wakupatie hatimiliki ya kimila chapu
Je unafomu ya mauziano?
Ndo huyo jamaa nasikia ni mnyakyusaHuyo mwamba mbona unyakyusa mwingi?
Kawaida yao kama mnyakyusa njoo PM nikitoka church nikuelekeze vizuri ila usiwe na wasiwasi wowote
Mwenyekiti ndio mwenye kijiji chake huyo mtendaji huwa anahama vijiji
Tayarisha ushahidi wa kutosha kuonesha kuwa ni lako. Akikuzidi kete amelichukua. TAYARISHA Barua za mauziano, ushahidi wa kijiji kuwa aliyekuuzia lilikuwa ni lake na kama ni lake pia alilipataje. Siyo kesi ndogo hiyo.Nina miliki shamba kwenye Kijiji kimoja heka 30 ,Sasa nilihamishwa na kumuacha Kaka yangu aliangalie lakini pia kufanya shughuli za kilimo ,shamba Hilo nalimiliki huu mwaka wa nne ,mzee aliyeniuzia alilimiki kwa muda wa miaka 6 ,mzee huyo ameshahama pia ni mgonjwa sana
Mwezi uliopita alitokea jamaa mmoja akasema Hilo shamba ni baba yake ,jamaa alinitafuta tukakubaliana tuonane ili tukaongee
Nimeomba ruhusa nimeenda jamaa hajatokea
Naomba msaada natakiwa kufanya nini
Shamba halijapimwa na halina hati miliki
Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
Naweza kusoma kiingereza nitumieTayarisha ushahidi wa kutosha kuonesha kuwa ni lako. Akikuzidi kete amelichukua. TAYARISHA Barua za mauziano, ushahidi wa kijiji kuwa aliyekuuzia lilikuwa ni lake na kama ni lake pia alilipataje. Siyo kesi ndogo hiyo.
kama alinunua toka kwenye kijiji, lazima mamlaka ya kijiji iweke baraka zake kwenye hati hiyo ya mauziano.
Unaweza kusoma kiingereza? Ningelikutumia case law uone kuwa inabidi ujitayarishe kwa ushahidi mkubwa
Tuma hapa JF % kubwa wanaelewa hiyo lugha
Ila mwenyekiti ni kiongozi wa kisiasa,afisa mtendaji ni kiongozi wa serikaliMwenyekiti ndio mwenye kijiji chake huyo mtendaji huwa anahama vijiji
pitia hizo... utapata mwanga kidogo
hii haisaidii sana as long as you do not have a good title, you have nothing to sell. Even if you have a granted right of occupancy, that does not guarantee you lawful ownership. Akitoa ushahidi murua kuwa hiyo right of occupancy was obtained unlawfully ie ni ya "mchongo" haitamsaidia.Sasa muombe mwenyekiti akupe barua ya utambulisho kuwa anakufahamu ww ni mmiliki Halali WA Hilo eneo then uende ofisi ya ardhi wakupatie hatimiliki ya kimila chapu
Watafute hao mmalizane
Anza kwa mwenyekiti au kama kuna village land use cometee waone hao upate hati ya kimila