assassin eagle
Senior Member
- Apr 23, 2022
- 113
- 451
Nina miliki shamba kwenye Kijiji kimoja heka 30 ,Sasa nilihamishwa na kumuacha Kaka yangu aliangalie lakini pia kufanya shughuli za kilimo ,shamba Hilo nalimiliki huu mwaka wa nne ,mzee aliyeniuzia alilimiki kwa muda wa miaka 6 ,mzee huyo ameshahama pia ni mgonjwa sana
Mwezi uliopita alitokea jamaa mmoja akasema Hilo shamba ni baba yake ,jamaa alinitafuta tukakubaliana tuonane ili tukaongee
Nimeomba ruhusa nimeenda jamaa hajatokea
Naomba msaada natakiwa kufanya nini
Shamba halijapimwa na halina hati miliki
Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app