Msaada wa kisheria

Huyo mwamba mbona unyakyusa mwingi?
Swali lako limenichekesha na kunifikirisha pia . Nilidhani nimekutana na myaki mmoja tu mtata kwenye ardhi. Kumbe inaonekana ni wengi.
 
Swali lako limenichekesha na kunifikirisha pia . Nilidhani nimekutana na myaki mmoja tu mtata kwenye ardhi. Kumbe inaonekana ni wengi.
Utamaduni wao mkuu. Ardhi inaweza kuwa ya kaka sa umenunua siku akifa usishangae mtoto wa mdogo ake akaja kudai hakushilikishwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…