karv
JF-Expert Member
- Dec 26, 2019
- 1,802
- 3,253
Ardhi ya kijiji ni tofauti hata afisa mipango miji haimuhusu iyoIla mwenyekiti ni kiongozi wa kisiasa,afisa mtendaji ni kiongozi wa serikali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ardhi ya kijiji ni tofauti hata afisa mipango miji haimuhusu iyoIla mwenyekiti ni kiongozi wa kisiasa,afisa mtendaji ni kiongozi wa serikali
Swali lako limenichekesha na kunifikirisha pia . Nilidhani nimekutana na myaki mmoja tu mtata kwenye ardhi. Kumbe inaonekana ni wengi.Huyo mwamba mbona unyakyusa mwingi?
Utamaduni wao mkuu. Ardhi inaweza kuwa ya kaka sa umenunua siku akifa usishangae mtoto wa mdogo ake akaja kudai hakushilikishwaSwali lako limenichekesha na kunifikirisha pia . Nilidhani nimekutana na myaki mmoja tu mtata kwenye ardhi. Kumbe inaonekana ni wengi.