Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nadhani kwa maelezo yako hutapata msaada unaohitaji maana wanasheria wetu huwa wanapenda kupewa maelezo kwa upana zaidi ili waweze kuchambua na kutoa majibu. Kwahiyo ingekuwa vizuri kama ungesema kesi inahusu nini, inadai fidia kiasi gani na vitu vingine kama hivyo.
Samahani kama nimekukatisha tamaa.
hairuhusiwi mtu kushitakiwa mara mbili kwa kosa hlohlo moja ambalo lishatolewa maamuz na mahakama ( double jeopard).chukua maamuz ya mahakama kuu kama kielelezo au ushahidi.ili ujidifense kwa kutumia atrofois acquit kuwa kes ilishamalizwa na uliachiwa.C.p.a na katiba iko waz.
Toka mwazo ilibidi muanzie Mahakama ya wilaya kabla ya kurukia mahakama kuu lakini kama mahakama kuu walitoa hukumu nenda nayo mahakama ya wilaya au kaiombe km hauna uwasilishe kuonyesha kua swala hilo lilishatolewa uamuz na ww kuachiliwa kisheria artofois acquitAsante kwa ushauri nikwamba huyu mtu alikopa pesa kwa wenziwe kwa 30% akawarudishia pesa yao hivyo imefika siku hao watu walio mkopeshea wakaenda polisi wakafungua kesi wakaandika walimpatia mil18 hivyo polisi wakasema anayetoa mthamana ni ocd kweli ikashuhulikiwa ukaptikana mthamana.kesiikapelekwa mahakama kuu ikaitwa kama mara tatu mara ya nne wakasema hakuna kesi hapo ambayo ilikuwa mwezi 2 tarehe 21 ilipofika tarehe 6 akaitwa polisi kuwa kesi inaanza upya wakapelekwa mahakama kuu waksema kesi imeamishiwa mahakama ya wilaya kukashindwa elewa sheria jamani
I thnk the matter is criminal and nat civilStay of a suit!!section 8 ya cpc inasema hvi,"no court shal proceed with the trial of any suit in which the matter in issue is also dirrectly and substantially in issue in a previously instituted suit btn the same parties,........"pia sect 9 ya cpc (res judicata)inakatazo court kuendelea na matter yoyote ile ambyo imeshafanyiwa maamuzi na mahakama yenye compitent jurisdiction,hzo ni hints 2 kidgo kwa kesi yako kama vipi ncheki 0758 144803,af pia inakubidi useme ni kias gan cha pesa kinachodaiwa coz kuna kias flan cha pesa hzi baadh ya mahakama aziwez kuzickiliza.
I thnk the matter is criminal and nat civil