Jamani wanasheria mnisaidieni kwa hili nani anapaswa kudistribute ardhi ya kijiji kwa wananchi ama kwa kuwauzia ama vinginevyo (a, VEO, b, WEO, c, mwanasheria yeyote, d, kamati ya kijiji ya ardhi. Nisaidieni tafadhali
Mkuu,
kwanza sio kudistribute ni ku-allocate.
Allocation inafanywa na village council baada ya muombaji kupeleka maombi akiomba apatiwe ardhi.
utaratibu ni mrefu kidogo ila hakikisha unafuatwa ili badae wasijesema hukupatiwa ardhi kihalali si unajua nchi yetu, akija muwekezaji anataka hilo eneo lako unanyang'nywa ukiwa unaona huku serikali ikitoa sababu kibao zisizo na mashiko.