Wewe ni mwana sheria hebu tushauri hili tumefanya kazi na mtandao wa simu ya voda takribani miaka 10 nikiwa km wakala leo bila taarifa wananiambia kuwa nikifanya kazi jumapili silipwi kamisheni yangu na wakati huo mteja akifanyiwa huduma ya pesa hukatwa hiyo siku ya jumapili