Lyatuu the Great
JF-Expert Member
- Nov 5, 2013
- 212
- 85
Msaada wa Kifungu cha sheria kinachohusiana na uhamisho wa mke kumfuata mume naomba aniambie
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ungeweka background ya tatizo husika, ingeweza kuwasaidia "wanasheria" kukupa ushauri mzuri zaidi. Mume ameajiriwa na nani na mke ameajiriwa na nani? Wanafanya kazi gani?Msaada wa Kifungu cha sheria kinachohusiana na uhamisho wa mke kumfuata mume naomba aniambie
Msaada wa Kifungu cha sheria kinachohusiana na uhamisho wa mke kumfuata mume naomba aniambie
Ungeweka background ya tatizo husika, ingeweza kuwasaidia "wanasheria" kukupa ushauri mzuri zaidi. Mume ameajiriwa na nani na mke ameajiriwa na nani? Wanafanya kazi gani?
Mume ameajiriwa wizara ya mambo ya ndani ya nchi na mke ameajiriwa ofisi ya raisi. Je kunahichk kifungu cha kisheria?
Nashukuru nimeona government order kweli imenipa mwongozo.
Government Order itakupa mwongozo ila hakuna sheria ya bunge.