Wadau nina rafiki yangu wa kike, ana tatizo ambalo nashindwa kulielewa ni kwamba huwa anapatwa na maumivu makali usawa wa kitovu upande wa kushoto ambapo anadai anapata maumivu makali sana kwa vipindi fulani fulani
Naomba kujua kutoka kwenu watalaam hili tatizo linatokana na nini na tiba yake inaweza kuwa nini?
Natanguliza shukrani kwa msaada wenu.