Msaada wa kitaalamu wa Kilimo cha Karoti

Asante kwa mada nzuri naomba kuuliza kuna tatizo nikilima karoti bila kutumia mbolea za viwandani badala yake nikatumia samadi
Hakuna tatizo mkuu ila ukimwaga samadi usipande siku hiyohiyo kaa kama mwezi mmoja ndio upande.
 
Hii imeripotiwa leo: Chanzo RFA. Bei kwa gunia moja imeshuka kutoka elfu sitini na tano hadi elfu ishirini na tano!
Ushauri: Kilimo cha mazao mchanganyiko kiendane na mkakati wa uimarishaji wa soko,ikiwa ni pamoja na kuongeza thamani ya mazao hayo. Yasindikwe,yauzwe kwa muda mrefu,na bei ya juu zaidi.
 
purchasing power imeshuka lazima serikali ifanye economic stimulations watu waweze kufanya spending.
 
Wakuu natumai ni wazima, nahitaji kulima karoti kipindi hiki cha vipindi kidogo vya mawingu (mvua) na jua kidogo kwa maeneo ya Tanga -Kilindi. Nahitaji kujua 1. mbegu bora... nahitaji the best kuhimili magonjwa na changamoto nyngn (kama kuna mbegu za F1 nifahamishwe) 2. Namna ya upandaji, na je, karoti inawezwa kupandwa kwny mashimo tu bila matuta?
 
KILIMO CHA KAROTI
Karoti hustawi vizuri kwenye sehemu zenye joto la wastani (nyuzi joto 15 hadi 27 za Sentigredi).
Kiasi cha mavuno yanayoweza kupatikana na ubora wa karoti, hutegemea sana aina ya udongo. Hivyo karoti hustawi vizuri katika udongo mwepesi, wenye rutuba ya kutosa, kina kirefu na usiotuamisha maji.

AINA
Kuna aina nyingi za karoti. Zifuatazo ni aina zinazolimwa hapa Tanzania.

1. Nantes
Karoti za Nantes ni ndefu, huvunjika kwa urahisi, zina umbo la kuchongoka na ncha kali. Aina hii hupendwa sana kutafunwa na walaji, kutokana na ladha yake tamu. Karoti za Nantes hazifai kwa kusindikwa.

2. Chantenay Red Core
Hizi ni nene kwa umbo, na zenye ncha butu. Unene wa nyama ya nje na ndani hulingana hivyo zinafaa sana kwa kusindikwa.

Huwa na rangi ya machungwa iliyofifia na ladha yake siyo tamu. Aina hii hustawi zaidi kwenye udongo mzito.

3. Oxheart
Karoti za Oxhert ni fupi na nene. Huvunwa baada ya mfupi kulinganisha na aina zingine.

4. Cape Market
Aina hii hupendwa sana kutafunwa zikiwa mbichi pia zinafaa kusindikwa.

5. Flacoro
Aina hii huzaa sana na mizizi yake ni mirefu. Hufaa kwa kuhifadhiwa na kusafirishwa, kwa sababu haziharibiki haraka.

6. Top Weight
Aina hii ina sifa kama za Flacoro.

KUTAYARISHA SHAMBA
Ili kupata mavuno mengi na bora, eneo la kupanda halina budi kutayarishwa vizuri. Iwapo shamba ni jipya, miti na visiki vyote vikatwe. Visiki na takataka zote ziondolewe shambani, Baada ya hapo shamba lilimwe vizuri na katika kina cha kutosha. Lainisha udongo ili kurahisisha uotaji wa mbegu za karoti ambazo ni ndogo sana.

Kama eneo lina udongo wa mfinyanzi au wa kichanga ni muhimu kuweka mbolea za asili zilizooza vizuri. Mbolea hizi hufanya udongo wa mfinyanzi uwe mwepesi wa kuweza kuruhusu maji na hewa kupenya kwa urahisi.

Endapo karoti zitastawishwa wakati wa mvua nyingi zipandwe kwenye matuta yaliyoinuliwa.

KUPANDA
Karoti hupandwa moja kwa moja shambani katika matuta au sesa. Kiasi cha gramu 80 (sawa na vijiko vidogo vya chai 16) kinatosha kupanda eneo la mita mraba 100. Hekta moja huhitaji kilo 8 za mbegu.

Hakikisha mbegu unazopanda zina uwezo wa kuota kwa kuzifikicha. Mbegu zenye uwezo wa kuota hutoa harufu kali unapozifikicha. Ili mbegu ziote haraka ziloweke katika maji kwa saa 24. Baada ya hapo changanya mbegu hizo na mchanga, kwa kiasi kinacholingana ili kupata mtawanyiko mzuri wa mbegu wakati wa kupanda.

Kama utapanda karoti katika matuta, tengeneza matuta yaliyoinuliwa kidogo, kiasi cha sentimita 10 mpaka 15. Matuta haya yawe na upana wa sentimita 60 na urefu wowote. Sia mbegu katika mistari yenye nafasi ya sentimita 30 mpaka 40 kati ya mstari na mstari na kina cha sentimita moja mpaka moja na nusu. Iwapo utapanda katika sesa tumia nafasi ya sentimita 40 mpaka 50, kati ya mstari na mstari.

Nafasi ya kupandia inategemea aina ya karoti inayokusudiwa kustawisha. Baada ya kupanda, weka matandazo kama vile majani makavu na kisha mwagilia maji asubuhi na jioni mpaka mbegu zitakapoota. Umwagiliaji utategemea hali ya hewa. Mbegu huota baada ya siku 10 mpaka 15. Zikishaota ondoa matandazo.
 
Shukrani mkuu kwa elimu nzuri japo najua hujamalizia naomba kuuliza yafuatayo;

Je karoti nazo zinawekewa mbolea mfano za kukuzia hz za chumvi chumvi?
Karoti zinavhukua muda gani kukomaa au kuvunwa?Zinavunwaje kwa kung'olewa au kuchimbwa
Huo usindikaji wa karoti ndo ukoje?

Nasubiria majibu
 
1110948
 
Wakuu habari,,, baharia nipo mbeya, this year nimekodi shamba kwa ajili ya kilimo Cha karoti Sina uzoefu na hiki kilimo lakini nimeamua kuchukua risk,
Nilikua nahitaji mtu ambae either alishawahi kufanya au anafanya Hadi now anipe uzoefu wa hiki kilimo,, zipi chakamoto zake,, mbegu nzur kwa ukanda huu,, na masoko pia,,, thanks
 
Nipo seat ya mbele kabisa kupata madini but nikutakie kilimo cha faida huku tukisubiri wagani
 
Habari wakuu,,, nipo mkoani mbeya natka nilime karoti msimu huu,,, Kama Kuna mtu Ana uzoefu na kilimo hiki,, kuhusu mbegu nzuri,, masoko na changamoto zake. Naomba msaada...
 
Ok,, nimepata mwanga kidgo,,,, vipi katka upandaji mkuu,,, unamwaga mbegu tuu Kama mchicha au unapanda ktk mashimo,,?
 
Asa
KILIMO CHA KAROTI
Karoti hustawi vizuri kwenye sehemu zenye joto la wastani (nyuzi joto 15 hadi 27 za Sentigredi).
Kiasi cha mavuno yanayoweza kupatikana na ubora wa karoti, hutegemea sana aina ya udongo. Hivyo karoti hustawi vizuri katika udongo mwepesi, wenye rutuba ya kutosa, kina kirefu na usiotuamisha maji.

AINA
Kuna aina nyingi za karoti. Zifuatazo ni aina zinazolimwa hapa Tanzania.

1. Nantes
Karoti za Nantes ni ndefu, huvunjika kwa urahisi, zina umbo la kuchongoka na ncha kali. Aina hii hupendwa sana kutafunwa na walaji, kutokana na ladha yake tamu. Karoti za Nantes hazifai kwa kusindikwa.

2. Chantenay Red Core
Hizi ni nene kwa umbo, na zenye ncha butu. Unene wa nyama ya nje na ndani hulingana hivyo zinafaa sana kwa kusindikwa.

Huwa na rangi ya machungwa iliyofifia na ladha yake siyo tamu. Aina hii hustawi zaidi kwenye udongo mzito.

3. Oxheart
Karoti za Oxhert ni fupi na nene. Huvunwa baada ya mfupi kulinganisha na aina zingine.

4. Cape Market
Aina hii hupendwa sana kutafunwa zikiwa mbichi pia zinafaa kusindikwa.

5. Flacoro
Aina hii huzaa sana na mizizi yake ni mirefu. Hufaa kwa kuhifadhiwa na kusafirishwa, kwa sababu haziharibiki haraka.

6. Top Weight
Aina hii ina sifa kama za Flacoro.

KUTAYARISHA SHAMBA
Ili kupata mavuno mengi na bora, eneo la kupanda halina budi kutayarishwa vizuri. Iwapo shamba ni jipya, miti na visiki vyote vikatwe. Visiki na takataka zote ziondolewe shambani, Baada ya hapo shamba lilimwe vizuri na katika kina cha kutosha. Lainisha udongo ili kurahisisha uotaji wa mbegu za karoti ambazo ni ndogo sana.

Kama eneo lina udongo wa mfinyanzi au wa kichanga ni muhimu kuweka mbolea za asili zilizooza vizuri. Mbolea hizi hufanya udongo wa mfinyanzi uwe mwepesi wa kuweza kuruhusu maji na hewa kupenya kwa urahisi.

Endapo karoti zitastawishwa wakati wa mvua nyingi zipandwe kwenye matuta yaliyoinuliwa.

KUPANDA
Karoti hupandwa moja kwa moja shambani katika matuta au sesa. Kiasi cha gramu 80 (sawa na vijiko vidogo vya chai 16) kinatosha kupanda eneo la mita mraba 100. Hekta moja huhitaji kilo 8 za mbegu.

Hakikisha mbegu unazopanda zina uwezo wa kuota kwa kuzifikicha. Mbegu zenye uwezo wa kuota hutoa harufu kali unapozifikicha. Ili mbegu ziote haraka ziloweke katika maji kwa saa 24. Baada ya hapo changanya mbegu hizo na mchanga, kwa kiasi kinacholingana ili kupata mtawanyiko mzuri wa mbegu wakati wa kupanda.

Kama utapanda karoti katika matuta, tengeneza matuta yaliyoinuliwa kidogo, kiasi cha sentimita 10 mpaka 15. Matuta haya yawe na upana wa sentimita 60 na urefu wowote. Sia mbegu katika mistari yenye nafasi ya sentimita 30 mpaka 40 kati ya mstari na mstari na kina cha sentimita moja mpaka moja na nusu. Iwapo utapanda katika sesa tumia nafasi ya sentimita 40 mpaka 50, kati ya mstari na mstari.

Nafasi ya kupandia inategemea aina ya karoti inayokusudiwa kustawisha. Baada ya kupanda, weka matandazo kama vile majani makavu na kisha mwagilia maji asubuhi na jioni mpaka mbegu zitakapoota. Umwagiliaji utategemea hali ya hewa. Mbegu huota baada ya siku 10 mpaka 15. Zikishaota ondoa matandazo.
 
Ulimaji wa karoti unaenda vizuri sana na kutumia kirutubisho cha mazao kinachoitwa SUPERGRO, ni rahisi sana kupuliza, maana 1cc kwa 1litre kulingana na ukubwa wa shamba lako. Unamwagilia kwa wiki mara 2 tu wakati wa kiangazi mara mmja baada ya siku 14 wakati wa mashika. Matokeo yake ni mazuri sana maana kazi kubwa ni kurutubisha mmea maana unapuliza kuanzia mmea hadi kwenye ugongo. Kwa ugongo inasaidia kuhifadhi maji wa muda mrefu. Pia inaweza kuchanganywa na dawa ya wadudu wakati wa kupuliza na isilete madhara yeyote. Na haina shida kama ushaweka mbolea kwenye shamba. Hata katika mboga mboga pia inatumika vizuri sana 1litre inatumika hata kwa ukubwa wa shamba 10heka. Kwa maelezo zaidi na uhitaji wa hii dawa nzuri 0766317197/0693307877
 
Back
Top Bottom