Msaada wa kitabibu: Mwili kuwasha

Magimbi

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2011
Posts
1,434
Reaction score
1,211
Wataalam. Mwili wangu unawasha mnoo yaani hasa wakati wa jioni nikiwa nyumbani. Sehemu mbali mbali huwa zawaasha sivimbi mwili ila nawashwa kama vile nimegusa upupuuu.

Msaada katika hili
 
mwil kuwasha mara nyng husababishwa na hypersensitivity reaction mara nying, tafuta anti itching moja inaitwa antihistamine jaribu kutumia ukchanganya na calamine lotion
 
Wataalam. Mwili wangu unawasha mnoo yaani hasa wakati wa jioni nikiwa nyumbani. Sehemu mbali mbali huwa zawaasha sivimbi mwili ila nawashwa kama vile nimegusa upupuuu.

Msaada katika hili

Acha Kula Kula Hovyo Samaki Wa Feri!
 
nitafute kwenye namba 0655731345 , 0767831345 mimi niweza kukusaidia
 
Kwanza jiulize unavaa sana nguo gan kama mtumba je zmenyoshwa

Unaoga vzri mana dar joto sana mkuu
Mafuta gan unatumia
Sabuni gani unatumia
Punguza kutumia maji ya chumvi bila mafuta

Nn kifanyike
Tumia vitu sahihi kwenye mwili wako
[emoji45][emoji45]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…