Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wataalam. Mwili wangu unawasha mnoo yaani hasa wakati wa jioni nikiwa nyumbani. Sehemu mbali mbali huwa zawaasha sivimbi mwili ila nawashwa kama vile nimegusa upupuuu.
Msaada katika hili
Wewe umetoka mbwinde nin hujui samak wa fer ndo originalAcha Kula Kula Hovyo Samaki Wa Feri!