Gmox JF-Expert Member Joined Mar 31, 2014 Posts 319 Reaction score 478 Feb 27, 2019 #1 kila kitu chenye mwanga i.e simu,tv,taa n.k nikiviangalia nahisi maumivu makali machoni kama misul ya macho inakaza vile msaada wenu wana jf...
kila kitu chenye mwanga i.e simu,tv,taa n.k nikiviangalia nahisi maumivu makali machoni kama misul ya macho inakaza vile msaada wenu wana jf...
Asclepius JF-Expert Member Joined Jan 24, 2017 Posts 694 Reaction score 730 Feb 28, 2019 #2 Nenda kaonane na wataalamu wa macho Sent from my iPhone using JamiiForums