Msaada wa kitabibu

Msaada wa kitabibu

Brightman Jr

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2009
Posts
1,224
Reaction score
234
Waheshimiwa naomba ushauri wenu/jina la dawa. Niliugua chickenpox last yr lakini baada ya kupona nimebaki na scars ambazo zimeharibu sura ya ngozi yangu na zinatisha ukiona. Niko serious na jambo hili naomba ushauri au endapo kuna dawa ya kutibu scars nijulisheni niitumie.
 
Nipatie mawasiliano yako nikutumie dawa moja itakusaidia na utaonekana mrembo tena kama zamani kabla ya makovu.

Back
Top Bottom