Msaada wa kitabibu

the locksman

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2012
Posts
1,102
Reaction score
355
Poleni na majukumu wakuu! Naomba msaada wa kitabibu! Ni siku nyingi sasa nashindwa kula chakula vizuri nikashiba na kuridhika. Mara nyingi nakunywa chai asubuhi mlo wa mchana sipati maana nikila tu napata kichefuchefu na kupelekea kutapika, Makohozi huwa yanajaa kooni. Siku nyingine nakula milo yote bila shida. Najaribu kupima hospitali minyoo au taifod naambiwa sina, sijui labda vipimo si sahihi. Naomba anaye jua nifanyeje anisaidie.Ni miaka zaidi ya miwili sasa napata taabu.
 
POA mkuu, tatizo nini lakini unafikiria.

locksman mimi siyo tabibu, ndiyo maana nikakwambia tatizo lako litajulikana baada ya vipimo kufanyika na utapewa matibabu sahihi ya kuondoa tatizo lako. Pole sana.
 
locksman mimi siyo tabibu, ndiyo maana nikakwambia tatizo lako litajulikana baada ya vipimo kufanyika na utapewa matibabu sahihi ya kuondoa tatizo lako. Pole sana.
POA, nashukuru.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…