Habari zenu wa jf natumai mko poa kabisa,samahani waungwana kwa mtu ambae anaju wapi ntapata link ya kitabu cha alfu leyla ulela naomba aniwekee,pamoja na kitabu cha Kamarazaman na bad-uur,samahani watoto wa.com najua hamjui hivi vitabu kwa hiyo naomba heshima iwe mbele sio vibaya kama hujui ukapita kimya
Nawasilisha jukwaani