habar ya kazi wakubwa! ninaomba msaada wa kupata kitabu cha kufundishia mbwa wangu. maana nimeenda polisi kitengo cha mbwa bei ninayoambiwa nimechanganyikiwa. wananiambia laki tatu kwa miezi mitatu. sasa kidogo imenishinda.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.