Msaada wa kitabu cha mafunzo ya awali na kati kwa mbwa

Msaada wa kitabu cha mafunzo ya awali na kati kwa mbwa

mwanzazi

New Member
Joined
Jun 21, 2015
Posts
1
Reaction score
0
habar ya kazi wakubwa! ninaomba msaada wa kupata kitabu cha kufundishia mbwa wangu. maana nimeenda polisi kitengo cha mbwa bei ninayoambiwa nimechanganyikiwa. wananiambia laki tatu kwa miezi mitatu. sasa kidogo imenishinda.
 
Back
Top Bottom