M mwanzazi New Member Joined Jun 21, 2015 Posts 1 Reaction score 0 Jun 29, 2015 #1 habar ya kazi wakubwa! ninaomba msaada wa kupata kitabu cha kufundishia mbwa wangu. maana nimeenda polisi kitengo cha mbwa bei ninayoambiwa nimechanganyikiwa. wananiambia laki tatu kwa miezi mitatu. sasa kidogo imenishinda.
habar ya kazi wakubwa! ninaomba msaada wa kupata kitabu cha kufundishia mbwa wangu. maana nimeenda polisi kitengo cha mbwa bei ninayoambiwa nimechanganyikiwa. wananiambia laki tatu kwa miezi mitatu. sasa kidogo imenishinda.