Gari aina ya Isuzu trooper,shida yake ni kwenye kuwaka inachlewa sana au saa zingine ina kataa kabisa hadi isukumwe, shida itakuwa nini kama service nimefanya lakini tatizo bado liko pale pale wadau naomba msaada wa kiufundi.
Nashukuru kwa mawazo, battery iko vizuri, ila kwa upande wa starter huwa inajaribu kuzungusha ila ina kuwa nzito, na saa zingine ikikubali kuwaka utaendesha vizuri tu ila iki izima haikubali kuwaka kabisa.