Msaada wa kiufundi.

Msaada wa kiufundi.

mcoloo

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2015
Posts
918
Reaction score
1,402
Gari aina ya Isuzu trooper,shida yake ni kwenye kuwaka inachlewa sana au saa zingine ina kataa kabisa hadi isukumwe, shida itakuwa nini kama service nimefanya lakini tatizo bado liko pale pale wadau naomba msaada wa kiufundi.
 
Nashukuru kwa mawazo, battery iko vizuri, ila kwa upande wa starter huwa inajaribu kuzungusha ila ina kuwa nzito, na saa zingine ikikubali kuwaka utaendesha vizuri tu ila iki izima haikubali kuwaka kabisa.
 
Umetumia Engine Oil namba gani? Umebadilisha filter zote 3?
 
Ni marufuku kutumia gari ya mjapani tumia gari ya mjerumani, mtaliano, mmarekani, na mwiingereza. [emoji51] [emoji16] [emoji119]
 
Back
Top Bottom