Japo sio mahali pake lkn naomba msaada wa kuweza kupata/fungua Page hii ya Jf kwa mtindo wa desktop view kwenye cm yangu
Before ilikuwa inafungua lkn suddenly ika change
Ni Android google phone
Mkuu hebu jaribu ku-uninstall kisha ingia play store uchukue app ya jamii ambayo ni updated...iko poa sana hii mpya,ukiipata usisahau kurudi playstore na kui-rank