Msaada wa kiufundi

Msaada wa kiufundi

Joined
Sep 4, 2013
Posts
8
Reaction score
1
Japo sio mahali pake lkn naomba msaada wa kuweza kupata/fungua Page hii ya Jf kwa mtindo wa desktop view kwenye cm yangu
Before ilikuwa inafungua lkn suddenly ika change
Ni Android google phone
 
Last edited by a moderator:
Mkuu hebu jaribu ku-uninstall kisha ingia play store uchukue app ya jamii ambayo ni updated...iko poa sana hii mpya,ukiipata usisahau kurudi playstore na kui-rank
 
Japo sio mahali pake lkn naomba msaada wa kuweza kupata/fungua Page hii ya Jf kwa mtindo wa desktop view kwenye cm yangu
Before ilikuwa inafungua lkn suddenly ika change
Ni Android google phone

Ukiwa kwenye JF ya kawaida yani Wapsite.Nenda pale juu kuna seiemu wameandika "Touch" ukishaingia hapo kuna sehemu utapatafuta pameandikwa full site..
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom