Msaada wa kozi fupi ya kusoma Marekani na Ulaya

Humble African

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2013
Posts
4,781
Reaction score
14,415
Habari wakuu!?

Binafsi napenda saana kusoma na kuishi mazingira tofauti na nyumbani hapa Bongo kwa sababu zangu binafsi.

Ninapendelea zaidi kufanya kozi yoyote fupi ya cullinary au yeyote inayolipa vizuri huko majuu! Je kuna yeyote mwenye wazo nifanye nini aidha nimuone nani kwa msaada zaidi!? Money Stunna Nyani Ngabu. Pasco. Elli.

Tahadhari; wale wote wenye wazo la kutaka kunishauri nikatishe safari yangu naomba wapite kando ya uzi huu kwa roho safi maana sijashawishiwa na mtu ila mwenyewe kwa utashi wangu nimeamua kusafiri na kusoma.

Regards,
Humble african.
 
Last edited by a moderator:
Nipo huku, ila kozi inayofaa huku ni nursing. Unalipa sana, haswa ukichukua RN program ya 2 years.
 
Hiyo 2yrs fanya iwe 4yrs, kwani ni lazima itabidi achukue elective classes for atleast 2yrs before being admitted kwenye nursing program!.
 
Hmi & scada, PLC, pci 👍. Kozi ya muda mfupi hazipo tz ubalozi hawaezi chomoa ukijipanga sawa, kazi yake hela kibaaaao kwa saa,

Una mpango wa kuzamia eenh?😎 maana wengi wanaendaga kwa style hiyo , 😊😊😊😊
 
Kama. Chaggabarbie!!😀
 
Hmi & scada, PLC, pci 👍. Kozi ya muda mfupi hazipo tz ubalozi hawaezi chomoa ukijipanga sawa, kazi yake hela kibaaaao kwa saa,

Una mpango wa kuzamia eenh?😎 maana wengi wanaendaga kwa style hiyo , 😊😊😊😊

Hujaeleweka...eleza kwa urefu na mapana... Hzo short forms ulizotumia hujaeleweka. Ni wengi wanataka jifunza from ths thread.
 
kama umeajiriwa tafuta za India na Uholanzi.Google: short courses in Holland aka Nertherlands utajipatia kozii utakayo na masharti yake.
 
Hujaeleweka...eleza kwa urefu na mapana... Hzo short forms ulizotumia hujaeleweka. Ni wengi wanataka jifunza from ths thread.

Nitarudi.
hizi kozi ni km una target ya usa. Watu wamezoea wakija ni kuwa manesi tu, nope kuna courses nyingine za hela nyingi makazini.
 
Ok...plz provide to me more details napenda kujua . Thanx.
 
Kwanza lazima ujue lengo lako ni lipi hasa? Ni kutaka kwenda kusoma nje tu na kurudi au kwenda na kubaki? Au unataka kwenda kusoma ili upate elimu "nzuri" zaidi? Kisha anagalia upande wa pili, kwenye list ya vipaumbele vyako, ni masomo yapi yana udhamini zaidi? Naamini masomo ya sayansi ndio yana udhamini zaidi? Nazungumzia ZAIDI, kisha angalia gharama zake, kumbuka kuna nchi nyingine lazima ujifunze Lugha ya nchi yao kwa takribani mwaka mmoja au miezi sita. Ukishapata hizo taarifa na ukazipima vizuri tafadhali endelea from there
 
Kasome MAXIMO.
Ukiwa mzuri wa MAXIMO inalipa sana.
Hutakosa at least $100 per hour.
 
Habari wakuu!?

Binafsi napenda saana kusoma na kuishi mazingira tofauti na nyumbani hapa Bongo kwa sababu zangu binafsi.

Ninapendelea zaidi kufanya kozi yoyote fupi ya cullinary au yeyote inayolipa vizuri huko majuu! Je kuna yeyote mwenye wazo nifanye nini aidha nimuone nani kwa msaada zaidi!? Money Stunna Nyani Ngabu. Pasco. Elli.

Tahadhari; wale wote wenye wazo la kutaka kunishauri nikatishe safari yangu naomba wapite kando ya uzi huu kwa roho safi maana sijashawishiwa na mtu ila mwenyewe kwa utashi wangu nimeamua kusafiri na kusoma.

Regards,
Humble african.

kama mkwanja upo kasome ppl( private pilot licence) then ongezea commercial pilot licence (cpl)...........thn you will be qualified to fly as co pilot in large jets...........kazi nje nje
 
Hmi & scada, PLC, pci 👍. Kozi ya muda mfupi hazipo tz ubalozi hawaezi chomoa ukijipanga sawa, kazi yake hela kibaaaao kwa saa,

Una mpango wa kuzamia eenh?😎 maana wengi wanaendaga kwa style hiyo , 😊😊😊😊

Mhhh! Dada angu una jicho la tatu nini!?, maana umeniona mawazo yangu wamnyama kabisaa.

Angalia siku za usoni usije kuwa mganga I mean Matunge maji marefu!? Lol!

Natania tu bt nimependa ushauri wako ndugu!
 
Back
Top Bottom