Humble African
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 4,781
- 14,415
Habari wakuu!?
Binafsi napenda saana kusoma na kuishi mazingira tofauti na nyumbani hapa Bongo kwa sababu zangu binafsi.
Ninapendelea zaidi kufanya kozi yoyote fupi ya cullinary au yeyote inayolipa vizuri huko majuu! Je kuna yeyote mwenye wazo nifanye nini aidha nimuone nani kwa msaada zaidi!? Money Stunna Nyani Ngabu. Pasco. Elli.
Tahadhari; wale wote wenye wazo la kutaka kunishauri nikatishe safari yangu naomba wapite kando ya uzi huu kwa roho safi maana sijashawishiwa na mtu ila mwenyewe kwa utashi wangu nimeamua kusafiri na kusoma.
Regards,
Humble african.

Last edited by a moderator: