Humble African
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 4,781
- 14,415
Nipo huku, ila kozi inayofaa huku ni nursing. Unalipa sana, haswa ukichukua RN program ya 2 years.
Hmi & scada, PLC, pci 👍. Kozi ya muda mfupi hazipo tz ubalozi hawaezi chomoa ukijipanga sawa, kazi yake hela kibaaaao kwa saa,
Una mpango wa kuzamia eenh?😎 maana wengi wanaendaga kwa style hiyo , 😊😊😊😊
Hmi & scada, PLC, pci 👍. Kozi ya muda mfupi hazipo tz ubalozi hawaezi chomoa ukijipanga sawa, kazi yake hela kibaaaao kwa saa,
Una mpango wa kuzamia eenh?😎 maana wengi wanaendaga kwa style hiyo , 😊😊😊😊
Hujaeleweka...eleza kwa urefu na mapana... Hzo short forms ulizotumia hujaeleweka. Ni wengi wanataka jifunza from ths thread.
Nitarudi.
hizi kozi ni km una target ya usa. Watu wamezoea wakija ni kuwa manesi tu, nope kuna courses nyingine za hela nyingi makazini.
Habari wakuu!?
Binafsi napenda saana kusoma na kuishi mazingira tofauti na nyumbani hapa Bongo kwa sababu zangu binafsi.
Ninapendelea zaidi kufanya kozi yoyote fupi ya cullinary au yeyote inayolipa vizuri huko majuu! Je kuna yeyote mwenye wazo nifanye nini aidha nimuone nani kwa msaada zaidi!? Money Stunna Nyani Ngabu. Pasco. Elli.
Tahadhari; wale wote wenye wazo la kutaka kunishauri nikatishe safari yangu naomba wapite kando ya uzi huu kwa roho safi maana sijashawishiwa na mtu ila mwenyewe kwa utashi wangu nimeamua kusafiri na kusoma.
Regards,
Humble african.
Hmi & scada, PLC, pci 👍. Kozi ya muda mfupi hazipo tz ubalozi hawaezi chomoa ukijipanga sawa, kazi yake hela kibaaaao kwa saa,
Una mpango wa kuzamia eenh?😎 maana wengi wanaendaga kwa style hiyo , 😊😊😊😊
Njoo tusome mafuta hapa norway
swissme