Mwalimu wa tuisheni
JF-Expert Member
- Oct 19, 2019
- 6,602
- 10,801
Kozi za osha ni nzuri sana nawajua watu wengi wapo ggm buly na north mara wanalipwa vizuri, kozi za OSHA ni nzuri sanaHabari
Moja kwa moja niende kwenye mada. Naomba kujua Kuna chuo gani hapa Tanzania kinachotoa diploma /degree katika kozi ya Occupational Health and Safety.
Nimeona OSHA wanatoa kozi mbalimbali za hili swala Ila nadhani zile zitakuwa ni short course.
Na vipi kuhusu zile wanatoa OSHA je zinaweza kukubalika ktk soko la ajira.
Shukrani.
Anaweza kusomea mtu yeyote ?Kozi za osha ni nzuri sana nawajua watu wengi wapo ggm buly na north mara wanalipwa vizuri, kozi za OSHA ni nzuri sana
Unaruhusiwa mkuu, check website ya OSHA,Anaweza kusomea mtu yeyote ?
Ahsante dearUnaruhusiwa mkuu, check website ya OSHA,
Wanalipwaje mkuu?Kozi za osha ni nzuri sana nawajua watu wengi wapo ggm buly na north mara wanalipwa vizuri, kozi za OSHA ni nzuri sana
1.8m na inazidi kutegemea na kampuniWanalipwaje mkuu?