Msaada Wa kozi ya Occupational Health and Safety

Msaada Wa kozi ya Occupational Health and Safety

Habari
Moja kwa moja niende kwenye mada. Naomba kujua Kuna chuo gani hapa Tanzania kinachotoa diploma /degree katika kozi ya Occupational Health and Safety.
Nimeona OSHA wanatoa kozi mbalimbali za hili swala Ila nadhani zile zitakuwa ni short course.


Na vipi kuhusu zile wanatoa OSHA je zinaweza kukubalika ktk soko la ajira.


Shukrani.
Kozi za osha ni nzuri sana nawajua watu wengi wapo ggm buly na north mara wanalipwa vizuri, kozi za OSHA ni nzuri sana
 
Back
Top Bottom