Msaada wa ku-download papers/vitabu n.k

Msaada wa ku-download papers/vitabu n.k

Joined
Nov 23, 2011
Posts
34
Reaction score
2
Wanafamilia wa JF,
Habari za muda huu, naomba kuwashirikisha hitaji langu.
Nilikuwa na shida ya kudownload hizi paper:

[h=1]1. ''Design procedure for border irrigation''[/h]A. A. Alazba

[h=1]2. ''Numerical computation of surface irrigation''[/h]J. G. Sakkas, C. V. Bellos and M. N. Klonaraki

''
[h=1]3. ''Dimensional analysis in surface irrigation''[/h]Theodor S. Strelkoff and Albert J. Clemmens
4. ''A numerical kinematic wave model for border irrigation''
S. K. Jain and V. P. Singh

5. ''
Modeling and error analysis of kinematic-wave equations of furrow irrigation''J. Mohan Reddy and Vijay P. Singh

6. ''Zero-inertia model for surge flow furrow irrigation''
T. Y. Oweis and W. R. Walker


Naomba wale wenye access ya majarida wanisaidie tafadhalini sana.

Asanteni kwa kusoma ombi langu.
 
Naomba mwenye access anisaidie kwa ku-download na ku-attach kama pdf.
Asanteni.
 
Mkuu nimefanikiwa moja nyingine zote mpaka kununua, nipe e-mail yako nikutumie
 
bookboon.com utapata vitabu bure......academia.edu utapata machapisho ya tafiti bure baada ya kujisajili
 
Back
Top Bottom