Msaada wa ku unlock iPhone, nimesahau passcode

Muulize Girlfriend wako au mke anajua nakuapia,achana na hawa viumbe
Ahahaa...uyo ndo alienifanya nibadili password,sasa nikawa nmesahau bhna nikaingiza ya zamani mara nyingi...

Adi mda huu simu imeandika try again in 8 hours
 
Simu ni yangu mkuu....kwann umeuliza hvyo?

Npe msaada kama una ujuzi wowote
Ninao uwezo wa kukusaidia kama wewe ni mnunuaji wa kwanza wa hiyo simu...na kipindi unainunua ilikuwa mpya kabisa...! lakini kama uliiokota au ulinunua Kwa mtu haitofunguka
 
Ninao uwezo wa kukusaidia kama wewe ni mnunuaji wa kwanza wa hiyo simu...na kipindi unainunua ilikuwa mpya kabisa...! lakini kama uliiokota au ulinunua Kwa mtu haitofunguka
Nilipatiwa mkuu na ndugu yang ikiwa full na mabox yake ila aliitumia kwa muda kidogo.....

Nisaidie mkuu..
 
Iphone hawana mchezo kwenye security, hapo usipokumbuka chinja simu uza spare
Duuuh hilo wazo la spare hapana...naamini wapo wataalamu wa kulisolve hili
 
Duuuh hilo wazo la spare hapana...naamini wapo wataalamu wa kulisolve hili
Mzee iphone sio watu, utakuja kunipa mrejesho, nishapata tatizo kama lako nimeliwa pesa sana mpaka na mafundi wa Nairobi, mpaka leo nina ipad ipo locked tu na ni mpya!!! Iphone kwenye security hakuna shortcut utaibiwa tu nakuhakikishia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…