X_INTELLIGENCE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 10,400
- 14,339
Raha ya iPhone ununue mpya...hata ikijifunga unauwezo wa kuifungua ila ulinunua ya mkononi...kuifungua ni ngumu sana labda ubahatike kununua ya mtanzania...🤣🤣🤣Mzee iphone sio watu, utakuja kunipa mrejesho, nishapata tatizo kama lako nimeliwa pesa sana mpaka na mafundi wa Nairobi, mpaka leo nina ipad ipo locked tu na ni mpya!!! Iphone kwenye security hakuna shortcut utaibiwa tu nakuhakikishia