Msaada wa ku unlock iPhone, nimesahau passcode

Mzee iphone sio watu, utakuja kunipa mrejesho, nishapata tatizo kama lako nimeliwa pesa sana mpaka na mafundi wa Nairobi, mpaka leo nina ipad ipo locked tu na ni mpya!!! Iphone kwenye security hakuna shortcut utaibiwa tu nakuhakikishia
Raha ya iPhone ununue mpya...hata ikijifunga unauwezo wa kuifungua ila ulinunua ya mkononi...kuifungua ni ngumu sana labda ubahatike kununua ya mtanzania...🤣🤣🤣
 
Ahahaa...uyo ndo alienifanya nibadili password,sasa nikawa nmesahau bhna nikaingiza ya zamani mara nyingi...

Adi mda huu simu imeandika try again in 8 hours
Ulibadili passcode ukiwa hai au ukiwa umekunywa?

Nenda Elite Computers kama upo Dar watakusaidia
 
Duuuh hilo wazo la spare hapana...naamini wapo wataalamu wa kulisolve hili
Mzee iphone sio watu, utakuja kunipa mrejesho, nishapata tatizo kama lako nimeliwa pesa sana mpaka na mafundi wa Nairobi, mpaka leo nina ipad ipo locked tu na ni mpya!!! Iphone kwenye security hakuna shortcut utaibiwa tu nakuhakikishia
 
Mzee iphone sio watu, utakuja kunipa mrejesho, nishapata tatizo kama lako nimeliwa pesa sana mpaka na mafundi wa Nairobi, mpaka leo nina ipad ipo locked tu na ni mpya!!! Iphone kwenye security hakuna shortcut utaibiwa tu nakuhakikishia
Nilikuwa na case kama yake ikatatuliwa k/ko ila kitu kinafutika unless awe amehamisha kwenye PC au kwenye simu ya mtu mwengine maana simu inakuwa mpya.
 
ndio maana watu wanahoji kama kweli ni yako,maana usingebabaika na swali hilo.

hapo anauliza iko updated mpaka IOS ngapi??maana ugumu wa kuifungua unaongezeka kila IOS mpya.
Apo kipengele mzee sio kila mtu anaujuzi na mambo ya simu...ata ukiniambia nikwambie kirefu tu cha hyo IOS npo empty kwakweli
 
Mzee iphone sio watu, utakuja kunipa mrejesho, nishapata tatizo kama lako nimeliwa pesa sana mpaka na mafundi wa Nairobi, mpaka leo nina ipad ipo locked tu na ni mpya!!! Iphone kwenye security hakuna shortcut utaibiwa tu nakuhakikishia
Mzee kwenye mambo haya kuna watu wataalamu....ni swala la muda na connection,naamini ata hyo ipad yako inaweza ikatatuliwa ila utapoteza data zote

Nilikuwa na case kama yake ikatatuliwa k/ko ila kitu kinafutika unless awe amehamisha kwenye PC au kwenye simu ya mtu mwengine maana simu inakuwa mpya.

Mkuu hawakukwambia wamefanyaje kutatua hilo...?
 
Mzee kwenye mambo haya kuna watu wataalamu....ni swala la muda na connection,naamini ata hyo ipad yako inaweza ikatatuliwa ila utapoteza data zote

Mkuu hawakukwambia wamefanyaje kutatua hilo...?
Mchawi pesa😂
 
Hiyo haitopona...mwenye uwezo wa kuiponyesha ni huyo ndugu Yako alieinunua mara ya kwanza...mrudishie akufungulie
Alinipatia ikiwa amefuta kila kitu chake....yaani kama ilivyotoka dukani na nimeitumia mwaka na miezi kadhaa,

Inamaana ata nikifikia maamuzi ya kuflash haitopona mkuu..?
 
Oya acheni izo, kama amesahau passcode akiweka kwenye iTune mzigo unapona.

Ila kama iCloud iyo simu siyo yako.
Sijakuelewa mkuu....fafanua kidogo ..

Nmejaribu kwenye iTune simu haionekani kwenye PC (iTune) ukichomeka USB...
 
Ahahaa...uyo ndo alienifanya nibadili password,sasa nikawa nmesahau bhna nikaingiza ya zamani mara nyingi...

Adi mda huu simu imeandika try again in 8 hours

Aisee hawa watu sijui tuwafanyaje,Tuishi nao kwa akili sanaaa
 
Mzee kwenye mambo haya kuna watu wataalamu....ni swala la muda na connection,naamini ata hyo ipad yako inaweza ikatatuliwa ila utapoteza data zote

Mkuu hawakukwambia wamefanyaje kutatua hilo...?
Mwenzakk unamuhakikishia kuwa atapoteza kila kitu, lakini ya kwako unaamini data zitabaki. Aliyekutuma amefeli pakubwa
 
Nina full document sio ya wizi mkuu...
Mwenye full documo huwa anajua hatua za kuchukua.

Siongelei incident ya kusahau lock ya simu, bali hii kasumba ya kuflash electronic gadgets as shortcut way ya kuhamisha umiliki.

Mzee, hiyo simu hakuna anayeweza kuflash hadi labda mmiliki halali akategue kule kwenye Apple Cloud alipoissjili hiyo device.
 
Back
Top Bottom