Msaada wa kuagiza pikipiki eBay

rommy shabby

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2017
Posts
1,123
Reaction score
1,302
Hbr za humu ndani wanajamvi poleni kwa majukumu mbalimbali mm ni mpenzi sn wa pikipiki kubwa. Kuna pikipiki nimeiona eBay nimeipenda ningependa kujua gharama za kusafirisha hadi inanifikia ni kiasi gani kule inauzwa $1200, au kama kuna mdau anajua machimbo ya pikipiki msumbiji msaada wake tafadhali maana huko nako nasikia zipo nyingi sn na bei nzr kdg. Naomba kuwasilisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Gharama za kusafirisha zinategemea unainunua kutoka wapi. Cha kufanya, wasiliana na muuzaji, atakwambia kwa address yako itamgharimu kiasi gani kukutumia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…