rommy shabby
JF-Expert Member
- Jun 26, 2017
- 1,123
- 1,302
Hbr za humu ndani wanajamvi poleni kwa majukumu mbalimbali mm ni mpenzi sn wa pikipiki kubwa. Kuna pikipiki nimeiona eBay nimeipenda ningependa kujua gharama za kusafirisha hadi inanifikia ni kiasi gani kule inauzwa $1200, au kama kuna mdau anajua machimbo ya pikipiki msumbiji msaada wake tafadhali maana huko nako nasikia zipo nyingi sn na bei nzr kdg. Naomba kuwasilisha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app