Msaada wa kuagiza vitu kutoka nje

Dr Dre

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2015
Posts
2,664
Reaction score
2,810
Habari wakuu,

Nimewahi kuagiza simu kupita aliexpress lakini sikufanikiwa baada ya wahuni kuamua kupita nayo,niliwauliza posta wakadai imeibiwa ilipofika airport,haikua tabu coz nilirudishiwa hela yangu na aliexpess.

Sasa wakuu mnisaidie jamani maana kama mnavyojua cm nje bei chee,apa nataka niagize tenaa ila kigugumizi cha kuibiwa tena kinanikwamisha ,naombeni mawazo yenu jamani kama kuna option nyingine safe zaidi ya hii ya kuagiza kawaida kupitia posta mnisaidie.
 
Mkuu cheki huu uzi.
Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa - JamiiForums
 
CC; Mwl.Rct
 
Nashukuru kwa mawazo yenu wakuu
 
Tatizo Miafrika Michache ni mijizi, ila mimi nimenunua vitu vingi tu kupitia AliExpress na havijawahi kupotea
 
Tatizo Miafrika Michache ni mijizi, ila mimi nimenunua vitu vingi tu kupitia AliExpress na havijawahi kupotea
hahahahah eti miafrika,mkuu acha tu yani saivi ningekua na xiaomi yangu safi kabisa ila kutokana na miafrika fulani bado nasota na katecno uchwara tu
kweli bongo bahati mbaya
 
Mkuu hakuna watu wezi tanzania hii kama watu wa posta kama una mpango wa kiagiza simu, laptop, saa etc majamaa wanafungua wanachungulia wakipenda wanaiba mimi walishaniliza nimefatilia nikakuta ni watu wengi sana nao wamelizwa.

Cha msingi mkuu kabla hujaagiza chochote tafuta kwanza connection pale ya uhakika uwe una mpa progress yote ya mzigo wako la siivyo utalizwa tena na tena


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Cha muhimu ni kuwa there is money back guaratee in case you won't receive your item..
Sent using Jamii Forums mobile app
 

mkuu ile iphone 6 yako bado unayo mpk leo?
 
Cha muhimu ni kuwa there is money back guaratee in case you won't receive your item..

Sent using Jamii Forums mobile app

Yaah refund inasaidia mno sema tatizo mzigo ukishafika dsm kuwa refunded inachukua mda sana coz wanakuwa hawana uhakika kama uneupokea kweli in short ni usumbufu sana . Wafanya kazi wa posta ni wezi sana na sio waaminifu mpaka dealers wengine wanagoma kukutumia wanakwambia kabisa huko mizigo hupotea sana. Kuondoa hizo stress bora atume na dhl ingawaje bei yao iko juu ila ni uhakika.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
kabisa mkuu yani saivi ndo nataka nifanye hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…